Antibiotics si Chakula Nani: AMR talks
Oya, nimekam na ubaya. Kuna hii tabia huniboo ya misuse antibiotics which inacontribute sana to Antimicrobial Resistance (AMR): Inanua waxeZidi
Science In Sheng
Oya, nimekam na ubaya. Kuna hii tabia huniboo ya misuse antibiotics which inacontribute sana to Antimicrobial Resistance (AMR): Inanua waxeZidi
Hii ni stuff zenye genes zake flani zimechangiwa ama zingine poa zimeingiwa. Hizi genes zinaeza kua na traits flani flaniZidi
Hakuna msee hupenda kua msick but uzuri kuna venye unaezaprevent kua msick by using Vaccines that will make you immune.Zidi